KUHUSU TADVTC
THE ACTIVE DREAM VTC,Ni chuo kinachotoa mafunzo mbali mbali ya ufundi na yasiyo ya ufundi. Chuo hiki kimesajiriwa chini ya Mamlaka ya Mafunzo Nchini VETA,ambapo kimepewa usajili namba VET/MZA/PR/2020/D/102.Chuo kina umiliki binafsi yaani (private college). Chuo hiki kina muda mfupi tu toka kimeanza,lakini kimekuwa na mafanikio makubwa sana katika kuwapa ujuzi vijana ,wengi wao wamejiajiri na kuajiriwa hasa katika fani ya TOURISM AND HOTEL MANAGEMENT.
Chuo kinatoa fani zifuatazo:
1. TOURISM MANAGEMENT.(Tour guide)
2. HOTEL MANAGEMENT(FBSS,HHK FP)
3. COMPUTER &SECRETARIAL STUDIES
4. INTERNATIONAL LANGUGE &ENGLISH COURSE
Kozi hizi zote zinztolewa kwa muda mfupi na mrefu (short &Long course) kuanzia miezi 6-mwaka mmoja.
Chuo kipo mkoani MWANZA kilomita 40 kutoka jijini Mwanza.
mawasiliano piga simu
TELL: 0769-054-755 /0678013705/0685525213
e-mail: theactive.dream@gmail.com
or blog: https://activevtc.blogspot.com/
No comments:
Post a Comment